Have driving many vehicles and i have come to find out that in all vehicles driver seat is the same but the difference is the height, brakes and accelerator pedal, and how the body is. Kuna gari utapata ni borehole ata accelerator huwezi fikia. Zingine dogo kama kademio unajiuliza mzee mzima kama mimi nafanya nini hapa. zingine ni fumbi tu, ukiosha utapata ghost. Zingine body parts ni zachina. Lakini kama @uwesmake sisi ni watu wa gari kubwa kama v8 trailers bora iwe imegara na body poa. Hatutambui mipupa.
Wazee wakiogea, watoto walale