Drinks

Wadau ni drink gani swafi nimekunywa gilbeys gin but taste yake haiko

I blend gilbeys and cold tusker malt. Very nice and no hangover

I blend chrome vodka and keg dark extra. Very nice and no hangover

johnny walker black label

Gin Endea Gordons, otherwise mimi niko kwa Patron Anejo.

Wacha kukunywa chang’aa…buy Tanqueray

Irish coffee.

Methamphetamine

i have been drinking tusker for the last 15 years and i can say it is the best beer to me.

Jaribu southern comfort

Don montego brandy, u’ll enjoy it

Ongeza jaba na njugu. Unatumia punch pekee. Unabaki na 150 ya lanye

Gilbeys nyingi ni fake siku hizi. Jaribu Best gin.
General Meakins ni very smooth for a 50% chang’aa
Red label or famous grouse kama unapenda whisky black label ni overrated kwangu

I though uliwacha pombe

Niliacha. But ata time niliacha Gilbeys fake zilikuwa kadha. I’m assuming the problem has gotten worse

Hii si mbaya. Inaenda fity na sprite.

our resident birrionair

Uko na mikono kubwa:eek:

Gilbeys tulikuwa tunameza 2012 ilikuwa sawa siku hizi ni fake kwanza juzi vile teenagers wameirukia na fujo waliharibu.

GENERALI 50% nayo hapana mboss , juzi juzi siku za Uhuru mzinga ilikuwa 300, sato nilikuwa naingia pub nanunulia watu tano kila mtu yake , then nachukua Jameson yangu kando .

so hao watu tano wanaita watu wengine 5 each sherehe by saa nane usiku watu 25 wanaimba jina yako unaeza hata shinda kura ya MCA :D:D:D:D