Dreamliner yawasili

Hapa kazi tu

[ATTACH=full]182108[/ATTACH]

Safari yake kutoka kiwanda cha Boeing hadi Dar

[ATTACH=full]182109[/ATTACH]

Eneo la rubani

[ATTACH=full]182110[/ATTACH]

Daraja ya biashara

[ATTACH=full]182111[/ATTACH]

Daraja ya tatu

[ATTACH=full]182112[/ATTACH]

Safari ya kwanza yakisiwa kuwa Dar-Mumbai

Ndege mbili aina ya Bombardier yatarajiwa kuwasili kabla ya mwaka huu kuisha

Sawa, Mkuu! Wakati ni wenu, uwanja ni wenu na ngoma ni yenu! Haya, sasa chezeni kwa maringo tuwaone!!!

Air Tanzania italeta ushindani na manufaa kwa wananchi wote wa EA kwani itafanya bei ya tikiti kushuka

Kongrachulesheni……Ingawa tunajua wewe sio mtanzania, hivyo basi wape watanzania hizo kongole…

umeshamiri katika matamshi ya kipuzi, kitoto na kisenge

Wewe pia vile nimem’juza @English

Nguruwe Niaje?

Sawa sawa, Kiongozi. Uwe na jioni jema isio na upuuzi, utoto na usenge!

Nawatakia mazuri, Kaka!
Tanzania naipenda sana. Hapa juzi nilikua Boma Ng’ombe. Ghafla, Kilimanjaro ikatubariki na uonekano mwanana kweli kweli! Kisha ghafla ukajifunika tena na blanketi yake ya mawingu![ATTACH=full]182113[/ATTACH][ATTACH=full]182114[/ATTACH][ATTACH=full]182115[/ATTACH]

Safi. Nitapeana ujumbe. Lakini kaka timu yako mbona inaeneza maudhui ya kisenge? Ndio timu inayoshabikiwa na mashoga wengi duniani

[ATTACH=full]182117[/ATTACH]

Wako kila mahali
[ATTACH=full]182118[/ATTACH]

[ATTACH=full]182119[/ATTACH]

[ATTACH=full]182120[/ATTACH]

unabore msee

Arsenal ndio mababe wa ushoga

[ATTACH=full]182122[/ATTACH]

Nimekufungia chooni ukapigie kelele zako za ulevi huko! Sasa payuka uwezavyo!

So long as mashoga wapo duniani, kila team ina wao. Just accept and move on. Hakuna kashoga na kishoga.
Ona sasa wewe mwenyewe wa kwanza kuderail your own thread…

That business class iko sawa

Peter-puffin’ ma’faas

Kenya imekuwa na B7878 since 2014. Wewe unakuja hapa kuturingia. Brary fuakin seree kabisa…

hizo viti za rubani si ni zile huwa tunawapatia members wapya kwenye foramu hii?

What have we done with the dreamliners other than stealing from ourselves?