Drama King Meets Drama Queen.

I like Diamond’s songs but I don’t follow him on instagram, FB or twirra. Kuna mushene mingi sana social media about him and Zari. Somebarry explain to me what this all about.

@wonderful wonder usijaribu kunielezea, you will get me confused even more.

Pia mimi nimeskia hiyo drama. Ati Diamond amevaa socks hazifanani na Zari amevaa bra haimatch na panty… fala sana moderator mzima anatafta muchene kila mahali. Bure kabisa…

In summary, the kunguru is suing diamond for child support.

It is a slow friday, niko kwa Gilbeys na time haisongi.

:eek::D:D:D:D:D

Mapema sana. Kwani kwa hio 5star hotel they allow?

Niko Bungoma. Job kuna alcoblow kwa gate ukijaribu unaenda home.

Ohh nice. salimia kunguru wa hapo drips wa Kibabii na KMTC

mi hushangaa na hii pre-occupation ya macelebs sana. bra bra bra sitaki kusikia

Mod umeanza mapema…hapa bado miindi ameweka macho mbaya.

:smiley:

Leo kuna umama mingi sana kwa kijiji!

@Mundu Mulosi ingia inbox

Kijiji ifanyiwe overhaul, mods wengine wana upussy mingi sana

diamond alipenda mboch wao akamnyandua. naye mboch akapiga selfie ya diamond kama amelala na kuweka IG. Zari kuona hio picha akasamehea diamond. lakini already diamond alikuwa amepea mboch ball. zari kuskia hivo akajam kiasi lakini akacheza chini. Diamond akadai mtoto kama ni wake lazima amlee, hwezi ruka baby momma. hapo sasa ndio zari alifyatuka akajua hajui. Akakatch feelings kabisa akaanza kuleta noma social media. hio noma sasa ndio unaskia kakinuka!

I told u guys that “Salome” song was about sex…Hamisa took these lines seriously
Inama kidogo shika magoti
Nimesimama kama ngongoti
Mtoto jojo sio roboti
Chumbani bingili bingili sambasoti

Walunje mucene itawaua. I lived in a lunje town, mwenye alikuwa Mama fua alikuwa akitoka 20kms from my plot but alikua anajua story yote ya plot yetu kuliko Mimi mwenye ninaishi hapo. Ni vile tuu nilisahau kumuuliza what the latest mucene is about me. Hawa watu na mucene, ni talanta walipewa. And the men are worse than even the women! They know mucene wen its happening,in real time! Walunje ! Mama mulai!

Siaga mahindi

Kweli kapsaa.

Diamond alikula nini ya nani mwingine badala nini ya zari. So huyo nani akapata product ingine apo.