I have just finished watching this movie and it is among the best I have ever watched. I doubt if I will ever follow ratings again.
Umeget netflix recently ama unapanga watu na movie ya 8 years ago mtu yangu. I hope haunangojei ratings za moses and the ten commandments
Aoa
Haha. Usinisweep mzito. Kwani kwa hii era bado unalipia netflix! Uko na pesa ya kuharibu. Nilidownload hiyo movie.
Ata kama ni ya 8 years ago, ni kali.
Since 2014?
So is charlie chaplin but si kitu ya kushangilia saaaaana
severely underated
[ATTACH=full]463860[/ATTACH]
Na ni ya madevo?
Now you’re talking
i detest gore, blood sucking . thats why i never watch slasher/Zombie/vampire series movie unless imenibidi kabisa like WORLD War Z, the strain , supernatural and a few others takataka kama walking dead siwezi angalia such bullshittt