Dr. Ida Odinga

Wacha kuwa mchoyo. Tunakubali ulinyang’anya daughter in-law pesa zake zenye aliwachiwa na bwanake Fidel. Lakini kumtoa kijana shule, agharamike kuja hadi Nairobi na family yake then unamzawadia packet tatu za biscuits? [ATTACH=full]441246[/ATTACH][ATTACH=full]441247[/ATTACH]

Hii familia ilirogwa na mrogi akakufa. The old senile man skipped national prayers this week. This lady vowed to clamp down on small churches the other day. Kenya is the land of God and the devil has no place!

Kabla huyo hapo juu atafute aliye mroga,unafaa kuwa umejua nani alikuroga kwanza.
So unataka kuwe na church kila mahali.

Wacha watu waombe. This land is full of sin. Example is your gày habits

I have issues with this lady ( eg they whole forcing a ferry to turnback to pick her up plus ingine ya salon najuwa halipangi) but hio ya kanisa I doubt you heard or read what she said, please go back and do it and tell me what is wrong with anything she said ! Hapo I agree with her 150% , Africans are obsessed with churches,there is a clear correlation of churches/ religiosity and corruption in Africa take a look at Nigeria !

@sani aka Oscar Sudi kwanza rudi shule upate karatasi poa. Na pia JSKS aliacha kua baniff anapatia watu tank za maji na wheerobarro wakitoka kwake wanaziachia hapo group ingine idanganywe nazo?

Watu wanunue tank zao za maji. Arror atakuwa fala aje akuwe anachomwa na jua juu ya magari na kukula dust kwa jukwaa kutafutia watu matangi?

This can’t be Fidel’s kid. This lady probably did a lot for them behind the scenes. Usichokoze mama wetu mluhya.

opussss