Dowery Manenos

Usilipe. Unawaokolea msichana alafu ulipe. Ukilipa utaishi na machungu maisha yako yote, especially after kugundua dame alikuwa number 7 huko mtaa.

Kumekuwa na influx ya NV wengi of late, conclusion = @admin is creating fake accounts in an attempt revive the dying village

Woi nimepatikana leo, introvert samehea, leo umekua busy. Pumzika tu mzeiya… he he

4 Likes

Hehehe…
[ATTACH=full]55530[/ATTACH]
Any offences from 8.00 pm onward warrant Madam Mariamu…
[ATTACH=full]55532[/ATTACH]

12 Likes

unaeza iangalia hivyo… lakini pia ukiingia kwa hoteli uone mtu amepewa chakula, akaionja onja akaikataa alafu weh uletewe hiyo iyo chakula, huezi kubali unless unapewa bure…

Hii idea ya dowry na sijui brideprice ilianzishwa saa hile madem walikuwaga mabikra, wazazi kama wanataka mahari wachunge msichana abaki msafi kama pamba… Naunga mkono mjadala

3 Likes

Haha @introvert leo ako busy osungu imelete siiidaaa

baba hapa huna argument juu kama uliona kweli chakula hicho kimeonjwa ungekiacha uende zako hoteli nyingine…lakini kukila tena ukadai hulipi ni hatia…

1 Like

Hilo sijakataa, huyu jamaa yuafaa kumwacha akatafute mwingine… bado hajakila

Umekuja na swali mzuri lakini kwanza…

[ATTACH=full]55533[/ATTACH]

Alafu, ni mambo gani hii osungu anakufanyia? Jifunge leso bana

https://media.giphy.com/media/ZDoJ0Rj05zqBG/giphy.gif

8 Likes

@Tick, mzee Gashuzi amekufanyia hivi…

[ATTACH=full]55535[/ATTACH]

7 Likes

lipeni mahari mpokee baraka zake Maulana na wazazi wote na pia uoneshe kwamba wamdhamini mkeo na washukuru wazazi wake kwa kumlea na maadili mema. Naenda mwisho wa mwezi huu wa tisa, tarehe 24. mwanaume hawezi amua kulipa mahari iwapo mkewe hajamridhisha kwa lolote lile. nihayo tu kwa sasa na @introvert hanipati mimi, labda magufuli lakini pia yeye ni meffi!

1 Like

yaani Nauliza tu, but nitanunua hizo slices

bride price used to be a reasonable amount that could range from forms like physical money or something tangible but valuable, from the heart of the family that was marrying into the other (the man)

However nowadays it’s a form of business that gets ugly

Huko kwetu Luhyaland it’s a crime kumaliza kulipa the whole bride price ju it’s like saying you will never step into your woman’s home again.
I don’t know how Greeks do it

1 Like

@introvert, usimeze, this is bait

:D:D:D:D Zero chills!

2 Likes

Is it true that if you marry a BoGoF (with a kid or 2) you don’t pay the bride price

Gachui unatumia mihadharati gani, asking for nv

1 Like

hakuna, ndio akili babo iko sharp afande…

Wewe ndio ulichagua yenye “hao” watu walikuwa wamekula bure

Nani atashukuru wazazi wangu?