Dowery Manenos

Hii issue ya watu kulipa dowery, kwa nini nilipie kitu watu wengine walikula bure?

5 Likes

Keti kwa kiti ya NV before Tata ya @introvert ifike ikupee lift

7 Likes

Fanya hivi, hizo pesa nunua nazo Oxford Dictionary alafu usome spelling ya common words

20 Likes

inaitwa dowry…na sana sana kama ni msichana unalipia ni brideprice. dowry ni family ya msichana hulipa family ya mvulana.

halafu nikuulizee, ukinunua used car japan au dubai unapewa bure juu wengine walikuwa wameendesha?

57 Likes

ungesave bundles zako unique mwenyewe.

1 Like

halafu nikuulizee, ukinunua used car japan au dubai unapewa bure juu wengine walikuwa wameendesha?

:D:D:D:D:D…bwana gachui wisdom itakumaliza!!

11 Likes

what an explanation …bravo !!
[ATTACH=full]55518[/ATTACH]

14 Likes

Let say,wewe niwale watu wapenda vyabwerere

[ATTACH=full]55519[/ATTACH]
Rusha mzigo ndani twende…
[ATTACH=full]55521[/ATTACH]

9 Likes

Wewe lipa mahari.

gathee :D:D:D:D:D

[ATTACH=full]55525[/ATTACH]

13 Likes

lipa tuuu si ni wewe umeamua kumfuga kwa nyumba.slices ziwe zako ukitaka mpaka uchoke

Hio ni kali

2 Likes

As funny as it is, at least when you buying the car you know it’s used and the seller sells it as used.

Kwa sababu unataka kufuga!

comparing a woman to a used car right. Good for them. atleast the debate is over. they are being bought. na wasipingane

1 Like

bride price or dowry, whichever it is , feels like a reap off these days. It should remain formality to keep culture going . Not the way it’s done.
P.s the Muslims are supposed give the girl the dowry not the parents . The parents are given a present, which in modern times has been translated to money depending on family to family.

:D:D:D:D NV uende ukikaukanga na usirudi

@introvert I hope Tata haijaenda sana…kuna mteja mwingine hapa.

7 Likes

reap off, eh? ok, yes, maybe the girl’s father will reap…but i suspect you will reap the wrath of @introvert’s donkey…

6 Likes