Double checking with kijiji

Vipi wadau, tulisema akianza kuset ultimatums hakuwa nazo mbeleni nitembeze, ata akuwe mrembo aje, ata akuwe hajapitiwa, ata akuwe…

Ama are there any exceptions to this rule juu haileweki anataka nini.

[SIZE=1]haven’t posted in a long long time so mimi hapana tumwa na waturedio[/SIZE]

Hebu namba yake inbox niskie if kama ultimatums ziko mingi?

Tumia kofi

Namba zi bana lakini wacha niwekelee context

Ni wale wa kukwambia one thing saai the next moment unaskia ohh sitaki ukuwe attached… It’s like she cares more about me than herself, that’s bull IMO

Aje sasa elder? Don’t I need probable cause ama what’s your thinking.

Sasa wewe huwanga tufaranga twa turdmean

Wacha bibi hata my employer hawezi nipea ultimatum

Muite agonge mbili

hii anafaa apewe counselling

lete namba banae

I might pass it to wakuu, all you need to do is donate
[SIZE=1]Mfuko ni mbaya saidi[/SIZE]

Has she eaten the female cassava?

Mkuu hii lugha umetumia hapa sielewi, iko kwa lexicon kweli?

  1. Ulimwaga goji bodies ndani?
  2. Hizo goji bodies zimeanza kumea?

:DOoh golgi bodies mimi bado wekelea ndani ya gathambutha alafu ndio kameiva bado hakajapigwa masause na machillie fresh from the kitchen.

:D:D

Ni golgi bodies. D minus detected

Mimi si askari

Bila pikcha i reserve my comment.

Hapa ata thermal haiwess make, anyway huyo nimeachia wengine.