Wanakijiji, usiwahi jaribu kuintroduce new styles in a long term relationship. Unaenda kupindua the love of your life unaskia tu umeambiwa… “Woi Mungu wangu,zile vitu tulikuwa tunaambiwa kwa chama atlast zinafanyika,Baba Mike mimi usinililetee magonjwa,Watoto wangu bado ni wadogo sana!!!”
Kwani ulitoa wife yako ushago?
Sa hii umetoka wapi nayo sasa kaka…
Yes, a pure kienyeji. Sio hizi plastics mnaconsume
Mzee leta hekaya zako za twitter
imposter.
Peana yako vile unapinduliwa mcoondur Kama chapati takataka[ATTACH=full]495669[/ATTACH]
Wewe Kwanza usijaribu kuambia shineye ati hebu kaa hii style. Ata kwambia usilete ufundi Kwa mwili yangu.
Kwani mna mwambianga ama you soothe and ease her into a position…and how dull are your partners na vile dunia imeharibika.
ntakuwa naleta ukarabati