Guys ukitaka kuingia jeshi join as an officer CADET not as a serviceman
Joined with my degree as a tradesman unafanyishwa kazi za umboch na kazi mtu wa class 2 anaeza fanya
Thank me later
Okay
Na ulikuwa umetoa pesa?
Ongea poa nikutume kwa big wig akuskume cadet school
Uko na connection?
hii kenya utapata kazi wapi bila connection bro
How much does it cost kuingia cadet school siku hizi…ama ni political connection tu
True…i usually go pale karen kunywa hao seniors literally assign a junior officer to you…hao hutumwa tumwa kama mamboch…hadi wanaambiwa wakupakie gari
Degree ilikua ya animal husbandry ama?
Cadet
Tradesman
Serviceman
Specialist
Tofauti ni gani soja?
Tunajua ulikua bottom lanye wa embakasi barracks
As a tradesman you go through the commissioned officers ranks or non-commissioned officers ranks?
Bro,kazi yote ya military bila connection kaa tu home huku watu hupata kazi ndo wana advertise​:rofl:
Tradesmen/women non commisioned bro
Commisioned ni wale wa pale lanet
Zii buda kwani kambi ya jeshi ni moja kenya
Cadet kuna GSO wale wa kwenda kma pale lanet 3yrs specialists ni wale wa degree wanaenda lanet pia but training ya 6months wote wanakua officers in short wanakuanga na mawe apo kwa mabega
Alaf tradesmen wale wa diplomas/degerees sisi sasa unatrain eldoret na majamaa za four 4 mnajumlishwa pamoja tu
Difference ni officers are paid big money servicemen peabuts but they do the donkeys work
Hadi kufagia kama mboch man
wewe ni tradesman wa kazi gani
Halafu kuna mechanized infantry kama mimi