DONKEYS

A friend of mine in Uganda is looking for someone to supply him with donkeys and donkey skins from Kenya. If you have any ideas, kindly inbox with details. TIA

mimi naskianga ati kumbe hauwezi safirisha punda kwa gari…ati akibebwa hivi ana cheka had ana kufa…so solution ni unallipa masaai akusafirishie

6 Likes

For real?? Mbona punda zicheke bila sababu :smiley: :smiley: :smiley:

Punda akisafirishwa kwa gari huwa anapata amesement, anacheka hadi kupasuka tumbo

3 Likes

Enda naivasha au limuru usiku punda ni wengi

:D:D:D:D is this true? ama ni heka tu?

1 Like

Kwenda ministry of livestock kwa maeleso zaidi.

Following

ni hekaya

lakini kuna venye ni ukweli banaa

Hio ni porojo @wonderful wonder hupanda gari akikuja nairobi from Naivasha

9 Likes

Na hata @PepoPunda mwenyewe ni dere wa mathree na hajawai pasuka tumbo juu ya kucheka…

15 Likes

:D:D:D Shots fired

Also they don’t cross wooden bridges. Akiona maji huko chini anafaint

4 Likes

alaf pia ikijua inaenda kuchinjwa hua inacheka alafu ukiikaribia bila plan inakuuma

:smiley: :smiley: what say you? @Wakanyama

he he he ,ngozi ya punda nitaitowa wapi na nyama itaenda wapi?

FIXED.

8 Likes

Vile @pamba amesema

1 Like

@introvert, hapa kuna kitu.

1 Like

Ahem.
Tafadhali naomba @PepoPunda anisaidie na selfie yenye amepiga kwa gari nifanye background research…

4 Likes