Donate What You Have Please..

Kuna watoi fulani wamecome kwangu ati wanado mchango ya kuweka swimo kwa shule yao. Hiyo story imenitouch sana wakubwa, imebidi niwapee mtungi moja ya maji. Nimebaki na Jug pekee…aki ni khaard.

17 Likes

:D:D:DYou again

2 Likes

:D:D:D:D:D…umeshinda!!!

2 Likes

Mwanaume ni kushika jaba bag moja ya black, kutesa ulimi ndio fom.

2 Likes

:D:D:D:D…I give up!!!

1 Like

Hapa ni kutii design ya bayern na Pep Gurdiola. How can you explain to your kid you won, drawn and lost at the same time. Mtoi kuelewa away match ni mayhem.

5 Likes

chenye unavutaa aisee

1 Like

Kanaburn na “pop” yaani bob sound.

fangi isiwe huru…

2 Likes

Unanipeleka far. Walai unaleta ile vibe iliwa time ya Mollis…haha

pitisha ngwelo tusaidiane

aki nu kHarrddd … hawa watoi na mchanjo … well played

Pia ile haijaiva

1 Like

.

Ngonja Kwanzaa. Explain to us first. Mimi hii story imenipita.

Acknowledge the source pls

Copied from memoirs harddisk ya Khaard.

@Ghetto Kid I had given you the name Khaardi. But I think from today onwards nitakuwa nikikuita MANDUKULU. Its appropriate…

2 Likes

Hiyo jina kumention ndio blanda kwa mraiya. Afadhali khaard mtu wangu.

:D:D:D:D

1 Like

Kuna mtu amechanganya rat-rat na fangi hapa

1 Like