Domestic violence and planteshen woes

Keihii kesi inaendelea aje tangu utoke rumande?

Hapa ndio napiga mtu body slam UFC style. Ndio mwanamke aku harrass in public hivo amekuzoea vibaya bane

Acha hio maragoli atokomee na nauko

Hehe … bomboclaaat!

Lakini hii ya @uwesmake akipewa flying kick ndo ilinimalisa banae

[ATTACH=full]425937[/ATTACH]

:D:D:D:D:D:D

Bibi yake hufanya target practice na yeye…shenji sana.

Hehehe. Hiyo headbutt imenikumbusha ile Zidane aliwekelea jamaa wa Italy. World cup final 2006.

Haki hizi Baruhya ziko na mashida mingi

Niaje commissioner. Ulibinja ule mumamaz? Tuma mbisha

Yupi huyo?

Ule ulipitia kwake siku ile asubui ùgìthìi wìra