Dollar Imefanya ile something

Saa hii inacheza 122$

@Swansea saa hii unaweza nunua plot kama kumi side za Ruai na paycheck moja.

Did a Swift yesterday and bought the dollar at 130. Banks wanaghulaaa

Correction priss. Azanda. :D:D:D

Heheh! Nataka ifike 150

PayPal mpesa inatuibia at 118

Do bank transfer

Moi akitoka dollar ilikuwa less than 100ksh. Does it mean we had a better economy?

CBK lost control of shilling due to conditions placed by IMF last year. They had been controlling it prior. But a condition of a post-Covid loan was to drop that control because making the dollar stronger meant paying the lender less.

By next dec itafika 150/-

Something needs to be done…lakini niwaulize, si Kuna time Euro imekua 113 na Sterling pound 120

Is this good for “Wangapi”?

Hapo ndio utaona documentary ‘brothels in Kenya for a $1’

Use SBM Bank na ufungue dollar a/c, they have very good forex rates(almost same as bureau rates) especially for guys doing gigs from abroad.

:smiley:

mnalaumu IMF na CBK? Mnaagiza kila kitu kutoka nje ya Kenya, iwe ni izi underwear zina madoa doa, kikombe, kijiko na ata slippers.
Stima enye inazalishwa na upepo yenu free huko Turkana mnailipia na dollars.
Mnauza nini nje ya kenya? Hamtasaidika.

Yes we had a better economy. Wanaume siku izo walikuwa wanaoa bibi na mwengine, na kila mmoja anajengewa kwake na watoto wanasoma bila pressure. sasa ivi bila deals za kando kando mkenya wa kawaida hawezi afford kuoa zaidi ya mwanamke mmoja.

How Ruto thinks anyone can lend the Govt at 10% interest p.a. shows how out of depth he is! Wages can’t keep up with inflation let alone currency depreciation against the dollar.