DOKEZO: Wakenya, Acheni Kufuatilia Siasa za Tanzania na Kuitusi Nchi Yetu na Kiongozi Wetu

Kumekuwa na mwenendo unaotia wasiwasi katika mitandao ya kijamii, ambapo baadhi ya Wakenya wamejipa mamlaka ya kuingilia na hata kudhalilisha masuala ya ndani ya siasa za Tanzania. Hili si jambo geni, lakini linalotia huzuni zaidi ni pale tunaposhuhudia matusi ya waziwazi, dharau na kejeli dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kwa kusikitisha zaidi, dhidi ya Rais wetu wa awamu ya sita – Mhe. Samia Suluhu Hassan .

Kwa watu waliostaarabika, kumtukana au kumdhalilisha kiongozi wa nchi nyingine ni kosa kubwa la kidiplomasia na kimaadili. Ni ishara ya kutovunjika kwa misingi ya heshima ya nchi huru na jirani. Ni muhimu kukumbusha kuwa Rais Samia Suluhu Hassan si tu kiongozi mkuu wa Tanzania, bali ni mwanamke wa kwanza kuwa Rais katika historia ya Tanzania , na kwa sasa, anajulikana kimataifa kama mmoja wa marais bora kabisa wa kike barani Afrika .

Rais Samia amejipambanua kama kiongozi shupavu, jasiri, na mwenye maono makubwa ya kuiletea Tanzania maendeleo ya kweli . Amefanikiwa kuunganisha taifa, kupanua wigo wa kidiplomasia, kushughulikia uchumi kwa umakini, na kudumisha utulivu wa kisiasa katika mazingira ya kisasa yenye changamoto nyingi. Ni aibu na fedheha kubwa kwa raia wa nchi jirani kumchukulia kwa dharau mtu wa heshima kama huyo.

Tanzania ni Nchi Huru na Inayojivunia Amani
Watanzania tumekuwa tukilelewa katika misingi ya utaifa, umoja, na mshikamano. Tunaishi kama ndugu bila kujali kabila, dini wala ukanda. Tanzania ina zaidi ya makabila 120 lakini hatuna siasa za kikabila. Hakuna uchaguzi unaosababisha machafuko ya damu. Tumejifunza kusimamia misingi ya kidemokrasia kwa njia ya amani na busara.

Kwa upande mwingine, hali ni tofauti kabisa nchini Kenya. Historia ya kisiasa ya Kenya imejaa migawanyiko ya kikabila, ushindani wa kisiasa unaoegemea kwa koo na majina, na matukio ya kusikitisha ya umwagaji damu kila baada ya uchaguzi mkuu. Wakenya wanajua fika kuhusu machafuko ya mwaka 2007 baada ya uchaguzi, ambapo maelfu walipoteza maisha yao, wengine wakabakwa, na mamia ya maelfu wakalazimika kuhama makazi yao. Makundi kama Mungiki , vurugu za kisiasa, maandamano yasiyoisha, na kutovumiliana kwa misingi ya kisiasa ni mambo yanayowasumbua hadi leo.

Kwa Nini Mkenya Ajione Mwalimu wa Siasa kwa Tanzania?
Ni jambo la kushangaza kuona watu wanaotoka kwenye taifa lililojaa ukabila, vurugu za uchaguzi, na mivutano ya kila mara, wakijifanya wana mamlaka ya kuhubiri siasa safi kwa Watanzania. Tanzania haijawahi kuingilia siasa za Kenya. Hatukuwahi kuhoji uhalali wa maridhiano yao ya “handshake”, wala hatujawahi kutoa matamko ya dhihaka kuhusu wagombea wao wa urais. Kwa nini leo Wakenya wajione huru kutukana rais wetu? Kwa nini wajione na haki ya kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania?

Ni vyema ikafahamika wazi kwamba Rais Samia Suluhu Hassan anaungwa mkono na Watanzania walio wengi . Ameleta mtazamo mpya wa uongozi unaozingatia maelewano, diplomasia ya kiuchumi, haki za wanawake, maendeleo ya miundombinu, na usawa wa kijinsia. Dunia nzima inamtambua, mashirika ya kimataifa yanamsifu, na hata wakuu wa nchi nyingi wanampongeza kwa uongozi wake wa kipekee. Wakenya wanapaswa kujiuliza: Je, wanamtukana kwa sababu ya mafanikio yake ambayo baadhi ya viongozi wao wamekosa?

Ujirani Mwema Unahitaji Heshima
Kenya na Tanzania ni majirani wa karibu, tunashirikiana katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, biashara, utalii, na uhusiano wa kifamilia. Hili ni jambo jema. Lakini mahusiano haya hayawezi kudumu kama baadhi ya Wakenya wataendelea kujihusisha na siasa za Tanzania kwa kejeli na matusi. Ujirani mwema haujengwi kwa dharau, bali kwa kuheshimiana. Tanzania haina historia ya kuzomea marais wa nchi jirani. Hilo ni jambo la msingi ambalo linapaswa kuheshimiwa na Wakenya.

Heshima ni ya Wote
Tunawaonya kwa heshima lakini kwa msisitizo mkubwa: Acheni kuingilia siasa za Tanzania. Acheni kumtusi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Samia Suluhu Hassan ni kiongozi wetu. Tunamuheshimu, tunampenda, na tunamuunga mkono. Mtanzania yeyote anaweza kumkosoa kwa hoja, lakini siyo raia wa nchi nyingine kumpa matusi na kejeli.

Kama huwezi kutoa heshima, ni bora kukaa kimya. Tanzania ni nchi huru, yenye misingi imara ya kitaifa. Sisi si taifa la kejeli, wala si taifa la vurugu baada ya uchaguzi. Tuna viongozi wanaojali wananchi, na tuna nidhamu ya kisiasa iliyojengwa kwa miaka mingi.

Wakenya, waacheni Watanzania waendelee kujijenga. Acheni chuki zisizo na msingi. Na zaidi ya yote – acheni kumdhalilisha Rais wetu wa mfano, Mama Samia Suluhu Hassan.
Tanzania ni ya Watanzania. Rais Samia ni fahari yetu. Matusi hayabadili ukweli huo.

The ship has left the station, kot will launch their attack on your presidency and all who are curtailing on freedom of expression in Tanzania. We know there are hundreds of cases of enforced dissapearance of any persons perceived to be anti government. We shall speak against all ills huku East Africa

3 Likes

Kwahiyo unataka kusemaje? Tanzania is not Kenya. Vuka uje TZ tukunyoe na chupa. Fanyeni yenu. Tanzania is not interested in Kenya issues. We have our own things, we do our own. And you have your own things, do your own.

Tutatusi huyo Mama wenu na vibaraka wake na hakuna KITU mtafanya.

CHAMA CHA MAZUZU

8 Likes

Hamna kazi Jobless. Tunaongea na nyie kwa lugha nzuri tu. Tukiamua kugeuka. Mtalala njaa nchi nzima na Ruto atakuja kupiga magoti.

Hamna kazi Jobless . Tunaongea na nyie kwa lugha nzuri tu. Tukiamua kugeuka. Mtalala njaa nchi nzima na Ruto atakuja kupiga magoti…

Tutalala njaa kwani Sisi hula nyama za Zeruzeru kama nyinyi?

5 Likes

Tukiwagusa kidogo tu, Hawa wote wanakufa kwa njaa :rofl: :rofl: :rofl: :rofl:



1 Like

https://x.com/fwelloh/status/1924480000834588861

2 Likes

You are desperate. Have you really eaten today? :rofl: :rofl: :rofl: :rofl: :rofl:

1 Like

Freedom of expression and media ziko kwa charter ya EAC.

Tanzania suspended habeas corpus on political prisoners a long time ago. Siku izi afisa wa wizara ya kilimo anaeza tuma wewe jela.

Insults on Samia aside, there’s a man rotting in prison without a fair trial, no legal counsel or contact to supporters.

2 Likes

Tuliza mshono wako

:large_blue_diamond: Kwa Nini Raia wa Kigeni Hawaruhusiwi Kushiriki Siasa Tanzania

  1. Mamlaka ya Kitaifa: Harakati za kisiasa huathiri moja kwa moja utawala, sheria, na sera za nchi. Kumruhusu raia wa kigeni kushiriki moja kwa moja katika siasa kunaweza kuvuruga uhuru wa maamuzi ya kitaifa.

  2. Kulinda Amani na Utulivu: Historia inaonyesha kuwa baadhi ya migogoro ya kisiasa imechochewa na ushawishi wa kigeni. Tanzania inalinda utulivu wake kwa kuweka mipaka kwa wageni.

  3. Katiba ya Tanzania: Ibara ya 20 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatoa haki ya kushiriki shughuli za kisiasa kwa raia wa Tanzania, si wageni.

  4. Sheria ya Vyama vya Siasa (Sura 258): Inaweka wazi kwamba usajili, uendeshaji na shughuli za vyama vya siasa ni haki ya Watanzania pekee.

  5. Sheria ya Uhamiaji (Sura 54): Inatoa mamlaka kwa Mamlaka ya Uhamiaji kumfukuza au kumzuia mgeni anayejiingiza katika siasa bila kibali.

:small_orange_diamond: Hitimisho:
Raia wa kigeni wanapaswa kuheshimu sheria za Tanzania, ikiwa ni pamoja na kutojihusisha na siasa za ndani. Ushiriki wao bila kibali unaweza kuchukuliwa kama uvunjaji wa sheria na kupelekea hatua za kisheria ikiwemo kufukuzwa nchini.

Tuliza mshono wako


:large_blue_diamond: Kwa Nini Raia wa Kigeni Hawaruhusiwi Kushiriki Siasa Tanzania

  1. Mamlaka ya Kitaifa: Harakati za kisiasa huathiri moja kwa moja utawala, sheria, na sera za nchi. Kumruhusu raia wa kigeni kushiriki moja kwa moja katika siasa kunaweza kuvuruga uhuru wa maamuzi ya kitaifa.
  2. Kulinda Amani na Utulivu: Historia inaonyesha kuwa baadhi ya migogoro ya kisiasa imechochewa na ushawishi wa kigeni. Tanzania inalinda utulivu wake kwa kuweka mipaka kwa wageni.
  3. Katiba ya Tanzania: Ibara ya 20 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatoa haki ya kushiriki shughuli za kisiasa kwa raia wa Tanzania, si wageni.
  4. Sheria ya Vyama vya Siasa (Sura 258): Inaweka wazi kwamba usajili, uendeshaji na shughuli za vyama vya siasa ni haki ya Watanzania pekee.
  5. Sheria ya Uhamiaji (Sura 54): Inatoa mamlaka kwa Mamlaka ya Uhamiaji kumfukuza au kumzuia mgeni anayejiingiza katika siasa bila kibali.

:small_orange_diamond: Hitimisho:
Raia wa kigeni wanapaswa kuheshimu sheria za Tanzania, ikiwa ni pamoja na kutojihusisha na siasa za ndani. Ushiriki wao bila kibali unaweza kuchukuliwa kama uvunjaji wa sheria na kupelekea hatua za kisheria ikiwemo kufukuzwa nchini.

WaTz ni waoga sana and they celebrate cowardice and mediocrity.Culture yao they hide cowardice ,low IQ and uncertainty nyuma ya heshima na ukarimu.

sisi Kenya tulifurusha Ruto hadi alikuwa ameshaanza kutoroka Kenya.Mps walitoroka kwa ambulances na kujifungia kwa hoteli.
Lakini taja Wasafi records,Harmonize au Hamisa Mobeto kutombwa matako.Watachangamka na maexpert watatoka kila pahali na citations na references.

9 Likes

#SuluhuMustGo

Tanzania wacha .
U

Mzee kenya siyo TZ. Usitake tufanane :rofl: :rofl: :rofl: :rofl: :rofl: Hakuna mtanzania anayetaka kufanana na mkenya. Mnajipendekeza, hatuwataki

@255 toka nje nimalize kufira mamako mkundu chafu.

1 Like

Sisi tunajua njaa inakusumbu tu. Unaishi kwenye virtual life :rofl: :rofl: :rofl: :rofl: :point_down: :point_down: :point_down:

You are using the same line on every post when cornered. You think life is all about food? Kumanina

5 Likes