Dogs on sale

I sell dogs and puppies at not so cheap prices but they are definitely worth it. Take a look and tell me what you think[ATTACH=full]377876[/ATTACH][ATTACH=full]377882[/ATTACH]

Siwezi mind hio rottweiler pup !

Wapi pitbull

ngapi elder?

Watu wakufuga umbwa koko,kujeni muone rieng vile inaenda:D:D:D

:D:D:D:D:D:D

Rottweiler ni how much? Na unapatikana wapi? And are they vaccinated with certificates? If so contact me for business.

:D:D:D:D:DAfrican Mongrel (Mwitu)

Kuna kaingine nakaonaga kakipita,ni brown with faint black small stripes…nakachukia:D:D:D

siwes mind io German shepherd. What a majestic dog

kama naweza kui command iende iume watu kadhaa remotely weka bei ku test tutatest na uwesmakei

kwa tv tu.

what grade is this dog.

T9

Cheza nayo ukufe heheh

Rottweiler puppy ntakupea na 30 na tunaeza ongea bado. Niko ruai karibu na quickmart

Kuja na pesa kidogo nikuachie hiyo rott

Pitbull sijafuga lakini najua breeder ako nazo

Inadepend na breed ya mbwa mkubwa

Ni fully trained on aggressiveness and obedience. Bei inarange from 25k for puppies to 80k for grown dogs. Depends on the breed