Does this make sense?

https://twitter.com/Austinakala/status/1750580275480863164

I wouldn’t touch this. 17M alafu nipeleke garage? No way.

Kenyan brokers wako na tamaa ya kishenzi adi akili wanaogopa kutumia. 17Million for a fucking salvage? Anyone with 17M anaeza ongezea kakitu juu aendee zero mileage Toyota Kenya

5 Likes

Uyu ako too ambitious

Brokers wa salvage hutaka kuomoka na deal moja. Huwa naona salvage pieces of junk being advertised for close to full price nashindwa kama akili zao zimejaa uji.

4 Likes

Hehe, Ruto must go!!!

There is no difference between the sales person and that woman with three kids looking for a young stable rich man to marry her. Hii natoa 2M kama hataki akwende.

2 Likes