doctors mukam kiasi

For 3days now sijakua na appetite kabisaa. Tumbo ina feel funny kiasi nimekua nikikula vigiko moja mbili tu. I don’t like going to the hospital, hospitals make me sick. Lakini leo nimeamua lazma nifike hosi, nimecall bro wangu akuje anipeleke hosi coz I’m too weak right now, nime jaribu kuji force feed lakini karibu ni vomit nikawacha. jana usiku nili tomba msupa flani for kitu 20mins! Big mistake! Leo naskia kama naweza kufa bana hadi nikalia. My bro is on his way to come and take me to the hospital. Shida inaweza kua nn lakini?

This is how people feel when they are dying.

Luwere,luwere…

Kunywa dawa ya minyoo uache kusumbua…anyway get better soon.

Before you go to hosi chemsha ndimu, aloe vera na asali. Thank me later

Your train of thought is woah…

Men are funny… Yaani mtu anaeza tombana even on the death bed!!! :eek::eek:Dunia in a mambo…

Kamoja ka mwisho

Sasa wewe kama Ed hakutombi, nani hukutomba?

even when sick/bed-ridden we still demand slices. Nyinyi headache pekee nyef nyef

Tension ya madeni za 2018

Alitaka avuke mwaka akila slices ndio maanake.

Kunywa dawa ya abortion. Itatoa all illegal residents kwa tumbo

Sa mtu anaishi tao atatoa wa aloe vera?

Apande kwa kasuku hapo kwa balcony

Typhoid…pole kaka.

Not a doctor but I recommend bed rest and plenty of water. Also make some bone broth with kapilipili kwa umbali.You seem to be fatigued. In two days utakuwa sawa. If symptoms persist enda ukapimwe.

Hapo kwa alovera itakuwa hard small.

Then tafuta ginger, cinnamon, citric acid, cardamon chemsha na asali

Drink plenty of Lemon with hot water and some glucose. Kisha ongezea supu ya kichwa ya mbuzi to boost your electrolytes.