Doctor Strange In The Multiverse Of Madness - It's A Bit Of A Mess

https://www.youtube.com/watch?v=5zggDqLGCk8

Dr.strange ni kama matrix . Ina very many hidden things ichambue baada ya miaka kadhaa pia tafuta easter eggs marvel wanapenda kufanya hivyo sana

Shida ni this current phase iko average sana. This is a problem since watu wanaanza kulose interest so those easter eggs will have little meaning.