yaani mnaibiwa billions na politicians. Wenye wakipita mpaka wanapigiwa magoti. Mtu akiiba wallet iko na 550 mnampiga kijamii mpaka mnachoma… Wafrika tuna kasoro.
The solution is in fixing the system. Hii mambo ya watu kutoka na bail, hongo mingi na prolonged investigations ndio anafanya watu wachukue hatua mkononi.
Very true. MTU akitaka kuiba aende akaibe bank ama aende kwa government ministries aibe contract funds kama Lootal. Sio kuiba kuku na panty za maskini.
…am sure if any of us is given a chance to be a leader for just one week…hehe ile kuiba tutaiba wacha tu…
Kuna ule msemo “mkuki kwa nguruwe Kwa binadamu mchungu”
Tafakari msela