Do you love your job?

Huyu teacher anaipenda kazi yake. Kujituma kweli kweli[ATTACH=full]492734[/ATTACH]

@Ndekwe kazi mzuri sana mwalimu.

Passion.

ironically men make the best teachers for kindergarten, we are naturally more empathetic & impartial to children than women who can only love their own or some cute kids, sio majitoto sura mbaya kama @TrumanCapote

Awesome teacher.

He was awarded, av seen some of his videos. Huyu amependa kazi yake sana.

Mimi napenda kazi yangu sana for the simple reason that I am now working for myself on something I have always been passionate about. Huyo mwalimu is very passionate and dedicated. However, the system is working overtime to frustrate him. Unaeza pata hata jamaa chalk anajinunulia seeing as it is that anafunza chini ya mti.

Mimi sipendi kazi zangu lakini I understand that the biggest payoff comes from the hustles that nobody loves. I would be lying if I said that I will choose my work over a vacation. Sometimes a man’s got to do what he has to do to get the results he wants - inaitwa sacrifice and discipline. The same way I hate running on that treadmill in the gym but I still have to do it twice a week without fail.

Ashikilie hapo. I really admire people who do their work diligently. Ata nikipatanga waiter ananiserve with a smile lazima nitip.

Na kutosheka hivo ni muhimu sana kwa kazi

:D:D:D
Very true esp the part bout loving only their kids. Pia inasemekana, that “women use their children as hostages so as to extract a ransom from the childrens dad.”
:D:D:D

The Manipulated Man book, by Esther Villar.

Kazi mufti

@uwesmake alijituma kwa ng’ombe

Nimechkua notes lakini sidhani Neza ruka ruka ivi

Huyu anaenda far. Nature has a way of rewarding those who give

Engui kumbe wewe ni Mwalimu

He simply loves the job…
.

Huyu akaa kutomba mitoto ya shule

Aaargh pharmacy unaharibu Uzi na kuleta mambo ya zieks..:smiley:

Sharrap