[MEDIA=twitter]1358713509538897920[/MEDIA]
Yes… But a friend who is like a bro… Mwenye najua vizuri sana… Mtu kama Kimakia aka @Thirimaii na kina @T.Vercetti na @Wanaruona utashtukia kuna kitu iko ndani ya mattercore yako… It all depends on WHO are you sharing with… Alafu lazima ikuwe mtu ako na akili… A friend told me alilala na jamaa ilikuwa inaota usiku inamshika shika vibaya sana… Ilibidi aiachie kitanda aende alale kwa kiti
No. Kiti huwekwa pilow inakua an extra bed
Majuragia kiii
Am straight
Thank you
It has something to do with upbringing. Many guys who grew up in big towns don’t like sharing, especially those from high income areas. But most guys from rural areas are very free and see no issue.
Hehehe hizo jamaa mbili ni @kanguthu na @Wanaruona before they started dating. Watu hutoka mbali aiseee
:D:D
Labda bro, ikienda sana cuzo. Hizo ghaseer zingine zitandike mkeka chini ama zilale kwa kiti.
Wacha matusi dentist…tafute yeye ung’oe jino bila kugandia jamaa ikutiii…
I’ve added a poll up there
It depends. We do share a bed with my bros when circumstances demand or a Cuzo. As for friends, the last and probably the first time I shared a bed with a friend was a time we had gone for our graduation and rooms were booked, we had to share one. But this guy that I shared a bed with had been my roommate in campus before and a close friend.
I think it just depends on the person. There is a time we were in a ceremony/bash and some guy comes to the room I was to sleep (guest rooms za two beds), I ran out real quick and never slept there :D.
Alafu kama ni kwangu ama kwa beste yangu, haijawai fika level ya mmoja aspend night kwa mwingine. Hata kama ni saa SITA usiku, I will go back to my house if at all we are in this Nairobi. Kama ni town tofauti, I will book a room and I expect the same from others.
homophobic bunch of dudes…although mimi ikifika saa mbili utajipanga,
Close friends yes
What do you mean atajipanga?
Vipi mujamaa … Stop pointing fingers
:D:D:D:D
Niaje kanono, utaingia gym lini uache kushindana na wanawake kubeba haga?
why should a man share a bed with another man? Haifai kufika io level