while in campus every weekeend friday and satos we usually spent them in the club drinking ourselves into oblivion. tulikuanga tunakata hadi msee hajitambui manze. alafu wasee nilikuanga nikilewa nao walikuanga wajinga sana. ukilewa walikuwa wanachukua stuff zako wanakuekea alafu wanakufanyia kitu ya ufala. kuna boyz alilewanga yake yote hadi hakujielewa walimsetingi ndani ya dustbin zile biggy jamaa alisemanga aliamkanga after ameaumua na mchwa ya kutosha ndo kushtuka akajipata akk ndani ya dustbin. mwingine naye tulimwachanga ndani ya mtaro huko bs place wasee walikuanga wakinyora. kifala kilinyorewa usiku mzima. msee anaamka anajipata anatupa tu mnyoro na place ako kumejaa macd zishatumika ni kama wasee walikuanga wanakamuana huko juu ya giza.
siku nilitii ni yenye mimi nilitendwa. mafala tulienda tukakata as usual hiyo siku nayo nilikata hadi ikabaki nimebebwa. hizi nugu zilinipelekanga country bus zikanipandisha basi ya kwenda Western zikanivua kila kitu zikanibakishia socks na boxer pekee alafu zikabuy zile towel biggy zikanivalisha saa hiyo sijui nini inaendelea. nikijistukia nilikuwa naamshwa na wale wasee wakaulipisha watu ati “we pwana amka kari inataka kuenda naropi” nikashtuka “aai kwani hatuko Nairobi?”
“apana tuko pungoma” shit. nilienda kushika mfuko nitoe tenje wapi napata sina toja saa hio akili yangu bado ijaregister sina any. nilipigwa na baridi flani ndo nikakuwa sober. nikajiangalia vizuri. nina towel, boxer na socks pekee. nilitoka nje ya basi manze wasee waliniangalia kama mwendawazimu fulani. nikacheki bill board flani imeandikwa ‘do to others what you want to be done to you,’ nikacheka sana nikajua hizi ng’ombe enyewe ziliniweza. saa hio ni sunday asubuhi. na kesho yake monday 8 ya asubuhi nilikuwa na CAT na huyo lec ni wale ukihata cats ama assigno wewe kwisha.
vile nilipata nguo na pesa ya kurudi nairobi ni hekaya ingine.
ushaitendwa na mabeshte wako??
angusha hekaya tucheke pia tukikumbushana