Do the old Nissan Sharks matatu make money?

Juzi tuko mushatha nimewacha gari mahali nikaingia huto tu 14 seater nissan shark…fare ilikuwa btwn 30 to 20bob… like how do these matatus make money even here in Nrb like natuonanga sana tukibeba Mwiki, Njiru to Kayole…na fare ni hizo ma mbao to 50bob na ziko mob kwa route so si ati itafika kama imepiga Uturn immediately… @Yuletapeli saidia hapa? Looks like these guys take home 1k after long working hrs na bado hesabu service and breakdown money

3 Likes

Hizo ndio mat hupeleka ma mama mboga sokoni na kuwabebea gunia zao between 3am na 8am. Alafu hizo short distances huwa na watu wengi sana pia.

Drive around past 3am utashangaa kuziona zimejaa wamama na wasee wengine wanachukua supplies from markets and other supliers very early in the am.

7 Likes

They capitalize on masses. There are more people on those routes thus they can make more trips

5 Likes

they carry many people over short distances thus making more trips. kutoka taj mall mpaka donnie will cost you 20bob, mpaka kariobangi will cost you 50bob. kutoka donnie mpaka kariobangi itabeba watu wengi sana especially watu wa mbao mbao. they actually make good money and have low targets.

4 Likes

Hizo shark zinalalisha between 2 and 2.5k.
Hio beba shukisha ndio ikona Doo. Skuodi Moja ni ya thao i.e kuenda na kurudi. Itaenda trips nane. Mafuta itakunya 3k, karao hio siku wanaeza kula punch, wajilipe thao mbili, hapo Kuna ka lunch na washike Sacco za mafuta. Kitambo zilikuwa zinalalisha 3k ama 3.5k

9 Likes

Very true. Hizo mambao na ma chuani ndio doo.

Hizo matatu za short distance huwa na pesa poa kama route haina mats mob. The average fare no Kes 4-6/kilometer/seat while long distance matatus will charge 3-3.5 Kes/Km/seat. Maintenance nayo ni cheap as parts and labor ni mob

3 Likes

Hizo matatu hukuwa na crazy ROI. They are extremely cheap to buy and cheap to run. Utapata shark na 500k uanze job. Kama ni yako unajiendeshea unalalisha minimum 3.5k for a day’s work after deducting all expenses. Fanya kazi 26 days rest for 4 days kila Sunday. Patia driver mwingine squad hizo sunday akujenge 2k jioni. Average income yako ni 90k minimum per month. Jilipe 1500 per day as a driver. Unabaki na 45k monthly free cash. In one year hiyo gari imejilipa. Uko na 500k kwa bank, uko na gari bado, na uko na job inakupea salary ya 45k monthly.

4 Likes

What happened to Nissan za sikuizi kama izo za kitambo zilikua bullet proof ivo ?

1 Like

Very accurate. Na hio 45k inaenda kwa savings.
Wajanja hu save na Sacco, anachukua loan anajijenga. Every day analipa 500-1000bob to service the loan. Unapata amejenga rentals. Ni kujipanga. Hii ndio ilifanya nikainamishia wakikuyu. Hesabu kidogo but ikona impact.

3 Likes

Ni Nissan ama ni Toyota?

1 Like

Ni Toyota. I guess its a generational thing like the way all laundry powder ilikua inaitwa Omo.

2 Likes

Shark ni Toyota Hiace old model. Nissan QD32 is the old model Nissan Caravan. Both versions are excellent for town service. The shark though does better for long distance travel. New models Toyota Hiace are just shit. Gari imejaa plastics kila mahali, prone to scratches and costly to repair and service.

2 Likes

Na ukisuka your mat like this two here, 3k inapatikana bila shida. Owning two sharks is better than owning a bus. Ku maintain basi pia sio jokes alafu pia resale value iko sawa. Hizi nganya hapa utapata na 750. Unashika na mia nne, unafunga engine unashika gear box na diff, unapeleka riko na inaanza job.

1 Like

@Ndindu shark ni hio hapo juu. Kama ushafika mombasani, huko Wana prefer Nissan qd.

You still get the point

100 k a month. Assuming it breaks down twice a month, that’s -15k, psv insurance ni 10k. Factoring in losing days and slow days like Sunday -30%. Utabaki na 40-50k a month, without wear and tear.

15k is a lot, gari ni ya service to service.
Psv insurance ni 6500 ikienda sana.
Sundays ndio Kuna pesa, Ile movement inakuanga Wacha tu. Jaribu kangundo road ujionee.

Na by the way 40-50k sio pesa mbaya.

How to deal with wear and tear expenses. Save na Sacco. Chukua loan hata ya 50k. Gari ikiharibika hailali inatengenezwa na inaingia kazi. Lipa deni pole pole ukijua ukona pesa Incase of an emergency inadai chuma na mfuko sio mzuri.

Alafu biz ya mat haitaki hesabu ya end month. Hapa nikuangalia savings and what you can do with the amount you have. Ukiwa na pesa unaweza wekelea gari ingine unafanya hivo mara Moja. Ukitaka pia kuwa na projects hata kama ni kujenga nyumba za rentals. Pata pesa weka hapo kama exit strategy in future.

3 Likes

Interesting discussion. Following keenly

2 Likes

How much do saccos charge to join these days? Kitambo some had ridiculously high charges. And waKisii have really invested in this biz. And ni wazee, sio vijana

2 Likes