What are the worst gambling addiction stories you know of ?
Kuna slay queen mwingine nilikuwa najua alikuwa anafanya kwa zile shops za Betin pale tao back in the day. She told me how kuna wasee wanaingia kwa hiyo betting shop wakiwa normal, kidogo kidogo ulikuwa unaona wakigeuka wanakuwa machokosh over time. Wanalala tu hapo tao kwa barabara
Sasa mimi nimepatana na morio wangu tao, na juu hatukuwa tumeonana miaka mingi tukasema wacha tufike base ya pool pale ivo BS. (Club Mang)
Kufumba kufumbua tulijipata tumekuliwa pesa zote.
Uzuri pale ivo pochi la biashara nilikuwa nimebakisha 60. Nilibuy jaba na njugu na ikakuwa safari ikanyangwe.
Kuna jamaa ambaye tunafanya naye job in the same department. Huyo jamaa alikuwa Sawa kabisa and quite focused in his work but since he started gambling, he is a different person. Always late to work, having endless relationship drama, clashing with the bosses etc