DJ TOPHAZ

Huyu jamaa ako na mixxes moto jamani… Hakuna makelele. Just good music

5 Likes

I like him and grauchi. Huyu resident DJ @Touchlyrics amewahi toa mix :joy: ama yeye ni hutoa kama za afro

2 Likes

@Dudu1 ukisikiza mix zao you realize kuna tofauti kubwa na hizo zingine. The audio mastering is top notch na video quality pia

1 Like

Pewa latest reggea mix na uwache kusumbua watu Sunday

5 Likes

@Touchlyrics Naona bash anacomplain mix zake hazipati views kama za akina Tophaz and Grauchi but jamaa hafanyi mastering. Ukisikiza mix zake ziko na shida ya volume

2 Likes

Safi kaka, wacha niskize lazy Sunday

1 Like

Issue ata si mastering, alikunya mahali anakula. What does he expect akitusi kila mtu social media.,

Respect is a two way street, ajidinye na hizo mix zake. Everyday there is new talent that enters the market

1 Like

Tafuta dj pasamiz na upewe kiti.Mixxes served hot.

Niaje Demakufu…i listen to your mixes btw but sijakuona Mixcloud for a minute i follow you there

1 Like

Btw tukiwa high school kuna boyz alijichocha anataka kuwa Dj.

Msee akatengeneza mix kwa lappie then akatupea links tusikie.

Jamaaa alikuwa anaandika kwa white boards na kwa textbooks please subscribe like follow and comment to my youtube channel.

Hio mix kusikia it was very low quality

1 Like

Mixcloud ilianza some issues na copyrights, alafu platform zingine zimepitwa na wakati kama vimeo so we might not upload latest music huko.

1 Like