Sikiza DJ Tophaz and DJ Festa, especially old school rnb and hiphop… excellent mixes
Me niko Jamdown Shaflas mbaya sana. Dj Denno ne Moruu.
1 Like
Wana makelele Sana
Kila nyani na starehe zake.
1 Like
Nikiskìa DJ amejitajataja kila saa na kuvunjavunja glass mi huona mamake hakumchapa vizuri akiwa mtoto. Mix fiti kama lazima jina itajwe huwa mwanzo na mwisho. Hio kila 45 seconds unatuambia wewe ni dj othorongongo huudhi.
7 Likes
Umenikumbusha enzi za kina dj arika na lyta. Kelele tupu
1 Like
Me natambua DJ simple Simon
4 Likes
Missile na sio ile ya Luambo
DJ Stone Tha Great ndio GOAT
1 Like
Nimesikia zote. Kuna Dj Cisco pia zake ni wagwan
Ukiingia site ya Hearthis siunaweza kujichagulia taste yako, madj wanoma kuliko hizi za Kenya