DJ kenB

Dj ako na taste swafi saidi.
Mix iko na 7.5m views.

https://www.youtube.com/watch?v=VT1CYvzoaBk:1283

Hapa ananukisha doh ngapi.

Tulisema he is the best kenyan DJ on Youtube. Kuna kadj fulani hapa alijaribu kupinga

Nani alipinga demakufu @Touchlyrics

Nikiwa na ndeyt lazima KenB ama XclusiveR2B mpangoni

Ndio huyo sasa. Twanga yeye bakora ya kichwa ashike adabu

DJ ni Demakufu.

Sasa mbona mnapingana?

Kina Dj Kalonje na Dj Perez wakae wapi

Dj Lyta
Dj Bunduki
Dj Fish
:smiley: :smiley:

*XclusiveG2B

Waungane na Demakufu kwa stage ya Kayole.

Kwani video ilingโ€™olewa