DJ ANDIE mixxes. EISH!

Huyu jamaa ni mkali. His mixxess sound different and they mixed and mastered to perfection.

1 Like

Nice tafuta mix za DJ John WA homeboyz kwa buzzsprout pia

1 Like

huyo ni mnyama.i think andie ni product yake

4 Likes

hii buzzsprout unaeza download kweli…hizo mix za john ni alist

Totally agree his mixes really keep me sane out here :green_emoji:…siko sure na story ya ku download

Thanks for linking me… Ziko moto sana…

1 Like

Umezi download wapi

i think haina download option. was just listening online

2 Likes

Natambua DJ grouchi

1 Like

Grauchi ni mnona pia…

Lakini venye ana transition mangoma kabla ziishe inabore kiasi.Anatoaje ngoma kabla part ya Rickross ifike?Abomination.

Shida ya mix. Ukitaka kunyonga na ngoma ya nicki minaj hawezi tokwa bila ngoma kutolewa. Meffi hao

you crictize everything…

1 Like

Sasa am i supposed to love everything?Skiza mix za Dj Kym the dope vol 18 hadi 23 uskie uzito.Na Dj JoeMfalme.Hawana upuzi za kukata ngoma nusu ati ndio transition ikue wazimu.
Nashuku huyu dj wako ndio alikuanga capital fm na pale Rafikis langata road kabla ifungwe.Alikua anaweka ngoma ukiamka uanze kukatika ishatolewa unashangaa kunaendaje.

Andie is an A-list deejay. Infact, among the best in Kenya. You probably don’t know what good deejaying entails. Yaani you have the audacity of criticizing Andie’s transition skills. Wewe unasema nini sasa?

If you took time to read my reply with the aim of understanding instead of replying you could have understood that the only issue i have with him is the way anakata ngoma kabla iishe.I didnt know of him before getting to this thread.I actually listened to the youtube mixes posted in the thread and thats where i drew the conclusion.I had confused him with djAndre but they seem to be cut from the same clothe.
His selection of music/playlist is dope.Mimi shida yangu ni hio kukata ngoma eg hio yenye ameanza na ngoma ya drake ya i’am all one anakataje ngoma just when rick ross anaanza ku rap?Djying skills go beyond transitioning only.Its also about having the emotional intelligence to know what the listener likes.As a dj usijifurahishe.My opinion though.

nitaskiza hawa, mwingine mzuri ni dj shinski

1 Like

Dj Mfalme ndie hukata Ngoma unaboeka. But his transitions hua Kali. I also like Grauchi

1 Like