DIWALI CELEBRATION

Wadau ,kwani huyu jamaa wa ichaweri hatupatii holiday ya Diwali @ranjeet kwani you guys didn’t lobby this year ,Mimi naskia tu fireworks hapa Nairobi

Aki hata siwezi lala! Too loud, too beautiful!

The Public Holidays Act CAP 110 Sec 2(3).

Apana tambua holiday ya muhindi.
Lakini najua dereva we muhindi kesho atapewa ponus na funny tasting sweets.

Last year nikifanya mambo ya tours and travel,niligundua wahindi na wazungu ndio huwa majority wa local clients wa luxury Safari lodges.Wako na chapaa

Those are not funny tasting sweets, they are sweet tasting sweets, zo huitwa mitihai

Got some today. Yet to sample them

Some are really nice, but Chunga meno

Don’t.
Hutawai toka kwa muhindi.

Nimerekebisha wa turetio

Why hekaya ikuom