Who knows where I can get temporary tattoos in Nairobi. Na msiniambie gugu!
Nunua marker pen halafu tafuta mzito Introvert.
News in the hood Alchemist is dangerous with markers too.
But @introvert atanichora panya mahali siwezi ona. :D:D:D
Mganga hajigangi, ndio maana introfart anawesa…
Panya ni logo yake ya biz, itakuwa ndogo compared na tattoo yenyewe.
Kam nikuchore… I am an artist. A great one
Painter or sketch?
Kama usishindwa kutuwekea sketch ya thighlands sioni kitu unajaribu kusema nene:D
Ngori saidi.
@Alchemist usiogope.
:D:D
[ATTACH=full]156486[/ATTACH]
Tatoo artist @introvert kuja ujitetee.
:D:D
Shait.
Sikuji hapo.
I see you have now gone international.
hata jua haiwezi mulika eh?
Izo ni painful. Kama ya makwapa…noma.
Just buy bubble gum with tattoo stickers. They’ve got a wide variety from John Cena, powerpuff girls, 4makind, Kalamashaka, Mututho, RAO, Vera,…
Heena in South B, Golden gate.
She’s on FB too. Only KES 500.
0725971656
Kikikiii ati Mututho
Use heena
Sema ngw’e niamini
Sema ngw’e niamini