Diploma Clinical Medicine KMTC

Now, after 4 years on campus, I have never secured a job. I was thinking of taking this medical course pale KMTC, Wadau niambieni ukweli ama niendelee kuuza bangi?

Panua biashara. Pesa huwa haijaandikwa ilikotoka.

Huko mtaa yenu kuna shash? Naeza weka branch huko pia

labda diploma in nursing hiyo itakusaidia kuenda majuu. how old are you?

Sijui. Go clean, and use the business knowledge you have acquired to build a business that enriches your community in a positive way. Hii ya bangi hata ukiunda millions karma itakujia kivyake since at the end of day you’re actually destroying lives.

Saizi niko thate years

Fanya community oral health. Hapo kuna pesa. Hawa vijana ya mogoka watakuwa your target market. Una ng’oa Meno na 1000. Pia Hutu tumwizi twa Eastland @johntez addi gaza msafi utakuwa Una wawekea Ile mabati kwa mdomo ati ni silver.

[quote=“Kodiaga, post:4, topic:310891”]

labda diploma in nursing hiyo itakusaidia kuenda majuu. how old are you?
[/QUOTE
Niaje mtumwa wa Patel Kumar Singh Vishnu.[/QUOTE]

usijisumbue na mambo ya business. ingia KMTC nursing uchape masomo

At this time, nakuwa fully sponsored and the sponsor is for clinical medicine considering I had flying colors grade

Endelea tu na biashara Mzae

After 3 years utarudi hapa ukiuliza “Naweza tibu nani hapa?, nilimaliza Kmtc na sijapata job!!”. There is unexplained rush by all kids to Kmtc now and the market is already flooded. Unless you plan to go and take care of grannies Like ile Ng’ombe ya Bendora and Blaze.

Nursing

Ulifanya nini campus

Uza bangi upate 5k profit daily.

Cc @messiahette

Si uchape tubachelor of med degree hapo uon?

Because health care personnel ni wachache sana. Wewe apply. Kuna hata folk making career switch at 50. Wanavaa hiyo blue dress or black and white as we speak.

Halafu hii story ya kuenda campus 4 years kusoma “tourism management” sijui “community development” sijui nini tuwache.

Watch Narcos, Scarface alafu uweze kuexpand biashara

F

Flooded wapi. Very hard to find a jobless nurse. And with nursing you focus on working abroad. Halafu vile munameza GMO wagonjwa mutakua wengi sana

:D:D:D:D:D:D:D:D