Wanakijiji mmeshindaje?Kuna boys wangu flani amejifunga kwa mtego.Yaani alipita na kunguru flani,kisha badala ya kuingia Boni forest,akashinda ame-entertain iyo kunguru.Sa hii kunguru imekatalia kwa boys,na ni zile dem hana kazi,kisha ni wale wa kulewa.Boys amenisho juzi karibu wadungane visu kwa nyumba,kila mtu alikua mlevi.Sasa how do I help this friend,juu mwanzo nilimweleza ni msiba wa kujitakia,angekua kwa hii kijiji hangefanya iyo ufala ya kuentertain iyo kunguru,kuzidia kunguru ni singo matha.
Boss fagia kwako…maneno ya watu wanashare kitanda moja achana nayo
:D:D:D
Utamu wa punyani ulisikia wewe mwenyewe
Kunguru hawi njiwa
Sometimes it’s entertaining to wait for shit to hit the roof…elders need a hekaya… it’s been a while
:D:D:D:D…si kwamba I am meddling into their affair,ivi hauna rafiki amekuja kwako na shida,akaja umshauri?
Exactly. @El Chapo Guzman Jipee shughuli coz after iyo vita wanakulana wao wenyewe na hawakuinvite. Wapendanano wagombanao wakulanao.
I am looking the other way,only uyu boys anaomba uhsauri…lakini pia naona hataki kuachana na iyo kunguru:D:D:D:D
Venye elders wamesema achana na hio story, provided sio physical wacha wapapmbane. This year nimejaribu kumediate relationship 3 ya mabeshte zangu, some who have fought physically. But some people like such drama in their lives, nikaona counselling this guys is a waste of my energy.
Next ni wewe utapigwa kisu na huyo dame for destroying her relationship, after kijana kutapika ulimpatia advice waachane. In short keep off.
Anyone referring to a grown ass male as “BOYS” is either a child ( in the mind) or criminally immature!
Mbona alimnunulia pombe??
How should I refer a male friend ?or how do you refer to your male friends/circle?
true,we stay a distant apart,sisi hupatana tu weekend zile za moja mbili…
dem alilewewa kutoka kwingine,boy naye akaingia mtaa amekata…sa kila msee zake zilikua zinamwonyesha vile alikua ananipea iyo story.
[ATTACH=full]339419[/ATTACH]
Vile unaeleza hii kitu, this must be you si ata friend:D:D
Some people just love drama in their lives - we watch soap-opera with Kum Fu!!!