Sasa faida gani umeipata ewe shetani? Umetuzuia kusema tukiwa nyumbani sasa wacha tukuseme tukiwa huku; usijekujilaumu…naomba tuhamasishane kupitia Instagram, Whatsapp, Telegram, Facebook, Twitter nk. kwamba bado members wa JF tunaweza kukutana huku na kumchapa shetani hadi mapepo yake yamtoke…huku pana uhuru zaidi maana hata JF ya awali censorship ilikwishazidi!
:p:p:p waje wazime na huku!nawaangalia tu kisha nacheka hihihi
Hahaha, dikteta ameze wembe!
hahahaha
Dunia kama kijiji… Mawazo ya shamba Chato yamepitwa na wakati
Huwa sikomenti nyuzi za hivi
Kila siku nasema AFYA akili ni muhimu sana kuchekiwa wagombea…
Ona Nchi inavyoongozwa na kichaa.
[ATTACH=full]175812[/ATTACH]
Mungu tunusuru ktk hali hii
hakuna yeyote chini ya jua awezaye kupambana na Mungu.
Mungu ndiye aliyeumba vyote (ikiwamo teknolojia).
sasa viongozi wetu Tanzania wanapopambana na maaskofu, lazima wajue kuwa wanapambana na Mungu ambaye anawaadhibu kwa kutufungulia sisi waja wake milango hii ya teknolojia.
big up @Kenyatalk2018
Shukurani za dhati ndugu zetu wa Kenya Talk kutupokea “wakimbizi”
Magu anatapa kweli kutuziba vinywa lakini wapi
“When one door closes, another opens.”
Yaan kamwe hawezi kutuziba midomo teknolojia imeishavuka level ya kufungiwa na watu kwenye akili za akina bashite
niliumwa sababu ya kuikosa JF, nimepata ahueni kidogo
ngosha utafikiri yeyee ndiye wa kwanza kuwa rais duniani…roho mbaya haijengi upendo inajenga chuki
Utoto huo
Viongozi wengi ambao ni wabovu huwa hawapendi kukosolewa …hajui kupitia makosa ndo binadamu tunajifunza na kuwa bora siku zote.
Na hapa ni miaka mitatu tu, sijui kumi hiyo nchi itakuwa na halli gani!!!
tumekuwa wakimbizi wa kisiasa ghafla, yule jamaa dah katuweza.