Digital Government.

Just buying books for my kids in preparation for school opening and the Muhindi is telling me from 1st January 2016 prices for books will go up because of VAT.

YANI UHURU ANATAX MPAKA VITABU ZA WATOTO WA NURSERY?

1 Like

Uko Nursery?? sisi tushazoea ,pole lakini:D

My first borne is waiting for his KCPE results tomorrow the others wako class seven and class 2.

Mimi ni mzee bana.

2 Likes

Wacha vitabu, mpaka maji iliongezewa tax, I used to buy 10 litres at 90,now it’s retailing at 150,lakini juu maji ni uhai, nitanunua 2

Na kitabu ya nursery ni ya nini? :D:D:D

4 Likes

Am investing in a small domestic water purifier. Hii mambo ya kununua maji same price na beer imenichokesha.

2 Likes

Mtoi wa MWK:D:Dmasaibu ya kupanda mbegu ovyo ovyo

4 Likes

Get used to kawaida H2o unless unaishi Rokchogio/lodwar

Is this factual ama ni mhindi anataka ununue sasa?

1 Like

Mimi nakunywa hata maji ya water pan, lakini familia hawawesmek hiyo story

I drink straight from the tap. Nikienda safari najaza empty bottles nabeba or naenda kwa hoteli nauliza waiter yeye ukunywa maji gani. Akijibu ya tap, namwabia lete na jug.

14 Likes

my daily afya imepanda kutoka 60 hadi 100…I might invest in a blender

:D:D:D:DA real ninja right there. Would probably do the same were it not for the kids.

Siwezi dhubutu kuenda huko!!

1 Like

Don’t try that in Naivasha maji ni chumvi tupu watoto wako will be having meno brown.

3 Likes

Zangu nilinunua jana Head start Eng. na klb bio

Invest in a quality water filter… saves you the hustle of buying water all the time

How now? And the only safe water source with minimal fluoride around is a river called Malewa kitu 20kms from where I live so maji bado utanunua pengine useme hustles of buying bottled water.

Thought you had access to a water source…pole…unless you are mining rubies there then you should move

Mkipitisha katiba na kucreate positions za MCA, Women’s Rep, Gavana, Deputy Gavana, Senator, County Ministas, bla bla bla mlitaka Uhuru awalipe na pesa zake?

I told you in Klist this Katiba will kill us so nyamazeni mkufe polopooooooooooooooooooooooooooole!

2 Likes