jana during the mass, time ya offertory watu walikua kwa mass yenyewe hawakutoa any sadaka lakini kwa TV kulikua na OFFERTORY PAYBILL on the screen…lazima wali angukia kama mita mbili hivi
1 Like
MAKODOFIA NYINYI
1 Like
MAKOFI KWAKO…
This is Kenya bro,opportunists …kuna mtu alipata ka tittle deed out of papas visit
inakaa mimi tu ndo sija join bandwagon ya kukula pesa ya umma, ata izi paybill za donations ni uwizi tu