Diana at the Kilimani Police station with the OCS

OCS: Karibu madam, what exactly has brought you here.
Diana:Nimekujaa kureport artiste anaitwa Willy Pozze but kwa ID jina ni Matendechere Williams Shikwekwe, for attempting to rape me in his car.
OCS: (Starring at her nails) yes endelea.
Diana : Nilikua kwa Gari yake akararua nguo zangu akiwa kwa speed of 120km per hour
OCS: That is a very serious offense na angegonga pedestrian? This is a domestic terrorist
Diana: Kabisaaa. Infact ata sio rapist ni terrorist
OCS: Mulikuwa na uhusiano gani by then.
Diana: ubeshte tuu. Lakini sikuwa girlfriend yake mimi.
OCS: But madam wewe ni
mrembo sana, na huyu ni mluhya, hukua unaogopa ukiingia kwa Gari yake?
Diana:Aki singedhani atafanya kitu kaa hio coz alikua gentleman sana.
OCS: Wacha tuache mambo mingi, uko ready kutoa kitu recce wamumalize na mimi uniipe vitu. Sitatangaza.
Diana:OMG sasa munataka kuua Willy Pooze? Alafu nikupatie vitu? Vitu gani?
OCS: So unampenda hutaki amalizwe?
Diana: infact huyo jamaa ako na shida ya kusimama. Yaani ako juu ya Enzoy kama puru.
OCS:So umeshaona kitu yake
Can you describe it in full
Diana:Sasa Nita describe nini na ilikua down through out? Black, fupi, round.
… To be continued

Wewe ni nani, na umepeleka wapi Truman wa ukweli?

Truman capote Leo unakula Nini hio utugawie:D:D:D

:D:D:D

:D:D:D:D:D

:D:D:D:D Niliona pale kwa Thee Pluto Show, kanyamu kadogokanaitwa kasusu:D.
Will Paul alisema Diana ni sufuria mtaro yawaaaaaaa…:mad:

:smiley:
Leo umeamua ku expose the brightest part of you.

:D:D:D Kumbe Truman hukua mfunny

Huyu sio Truman. leo amepost kitu mzuri for the first time

:smiley: :smiley:

I have cause to believe that our Meru lass is getting good mugumo from someone, she’s been on a good roll lately.

:D:D:D
I see you can script local dramas. Lakini wewe na @Finest wine si mnaharibia jamaa market sana?

Hakuna mugumo tis the season to be jolly fallah lala lala.