dg kirinyaga a new twist huyo dem sio bibi ni singo mum

@GeorginaMakena makende
Police Statement

Kirinyaga DG was today forced to undress at his hotel room in Kakamega by the thugs who came in with lady. We call upon the police to act very fast and arrest the criminals involved and stop them from blackmailing any more VIPs at the ongoing #DevolutionConference 2018. The National Police Service is requested to beef up VIP security to avoid any further similar unfortunate incidents. We apologize to the H.E. Deputy Governor Peter Ndambiri for this heinous attack on his person and privacy and promise Kenyans we shall get to the bottom of this matter.

NPS Spokesperson.
[ATTACH=full]167695[/ATTACH][ATTACH=full]167696[/ATTACH][ATTACH=full]167696[/ATTACH]

Ndio nauliza wanaume kama ukikutana na mwanamke, kuna quick test ya kudiagnose kama ameolewa?

She has very nice boobs…serikali iingilie Kati, married men wako under Siege

Hiyo weave ni mpya… Kushine ndio zake sasa

Hata mimi akuje ani extort

Lakini sasa… Hadi video ichukuliwe na boobs hanging loose all in the name of extortion!! Hata kama

Here’s my barometer…(still in perfection)
Angalia nyuma ya maskio kama ni chafu ameolewa…
Kama ni safi anaglia handbag straps…zikiwa zimechakaa kidogo hajaolewa…

Kali. Heheheeee… Nitajaribu nione kama inafanya.

Makosa ishafanyika; he is a dickless ma’faa.

Jubilidiots

Yakimwagika hayafanyi nini…??

Kwani uko ready kupokea vibare na humiliation, Tony wetu?

Kama kuna kitu mi huogopa ni bibi wa wenyewe. Afadhali manzi ya msee mnaweza limana kukiharibika

Ata manzi ya mwenyewe siwezi. It’s impossible to win a fight against a man who is morally right!

Manzi wa wenyewe? Kuna kitu kaa hiyo?

DG alipigwa kofi zinalia kama risasi…

Hii ni ni kutbeba ufala of the highest calibre

note at no single point do they hit the lady seriously. Only threats. Also she wipes fake tears, hakilii hikio ki dryfry saitan.

Yes. Ni hali ya kujitetea but won’t wash. The guy himself has said that he has fyekad the woman severally.