Detained before sentencing

If someone is detained in remand before sentencing (with the sentence being serving a term in prison OR paying a fine for the offence) does that mean they will be jailed?

Yes.

hapo ndio unataguta magistrate/judge anakula za mecho sna ku fine minimum possible ukisonga, so wacha kulalia maskio tuma watu yako kwa waone mikora ya judiciary:D uone sentensing itakuwa next day saa mbili on the dot

sio lazima.

sentence inaweza kuwa with or without the option of a fine.

Inawezekana but ukiwa detained most probably unaenda ndani.and this involves criminal cases kama rape,murder etc,kama ni corruption kama ya walukhe labda judge anataka aone kama atatoboka,but kama ni above expect mugo wairimu way.judges are paid well.so even 5mil watakataa plus sio wewe tu unataka kumpea pesa.kama Hana 200 mil kama kidero pigia joe Biden akupee hint ya kukampenia human rights za rainbow party he qualifies to be a member by default:D:rolleyes:

nikiwa nje na bail/bond na kesi kubwa kama murder siwezi karibia korti:D kama hatuja sikizana na jaji nijue ruling

Majaji siku hizi hawachukui pesa kidogo ati 2, 3, 4 or 5 mirrions. Jipange na at least 20 mirrions ndio iwe sure bet ata ruke6in your favour.

Hehe ata mimi.unakumbuka former ocs wa roisambu alijipeleka kortini asubuhi na NZE yake akafungwa sijui maisha.weuh ogopa korti.inafanyanga nikikunywa charm afadhali nitupe mia Tano ama thao nachukua Uber badala niendeshe my Mercedes probox.juu Kuna jamaa tulikuwa nayo kanunga high alitingwa miaka mbao juu ya kucause accident kiambu road hapo kulikuwa kunaitwa red nova the club changed the name sijui inaitwa aje sasa.The father had given the bro to the culprit 100k akuje ampee prosecutor ndio nayeye prosecutor ajenge judge.nugu ikaenda kukunywa na soft meat wa kist club bells.