Nimetamani kuenda to the following places.
- Nairobi National Park( nimeenda before).
- Ol Jogi conservancy nione hio bear.
- Ol Pejeta( nimeenda before) nione Najin na Fati.
- Kanunga Waterfalls.
- Bamboo View Dam resort.
- Namanga Border.
- Takawiri island.
- Eliye spring.
- Maasai Mara National Reserve.
- Rolf place Rongai.
- Mount Kenya Conservancy.
- Mount Suswa via SGR
So unatuambia tufanye, is this the official aviation company of Kenya?!
11 Likes
Hii story ukipea lanye after kumlipa 1500, I’m sure atakurudushia kafinje uendelee kusave.
7 Likes
Wachana na lanyes you save money for those adventure
1 Like
Koji
7
Can’t do it alone. Join a group ya watu wanapenda hii maneno. Mchange, mlipe gari muishie.
1 Like