Desperate Kenya Delegation Troops To Arusha To Plead With HE President Magufuli

Attention shifts to President John Magufuli as Kenya leads its integration partners to Arusha in a last-ditch effort to safeguard its free trade arrangement with Europe, amid stiff opposition from Tanzania.

As chairman of the bloc’s heads of state summit, the decision made this week by President Magufuli will determine whether Kenya’s exports face taxes of between four and 24 per cent to enter EU market from October 1.

Kenya’s Industrialisation and Enterprise Secretary Adan Mohamed who appeared before the EU Parliament’s International Trade Committee believes the bloc will not tax Kenya’s exports once it sees proof of commitment from EAC members.

http://www.nation.co.ke/business/Focus-shifts-to-Magufuli--in-Kenya/996-3369924-15takg2/index.html

MONGOOSE , ahsande kwa Bad news za leo , za kesho ulete mapema .

9 Likes

Mangufuli is bad for business.

MEERKAT.

http://i.huffpost.com/gen/1508013/images/o-MEERKAT-facebook.jpg

MONGOOSE

https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/4/47/Ruddy_mongoose.jpg

HATA WAKIAMUA KUTU TAX ,BADO TUTAISHI HAITAKUWA MWISHO WETU,STUPID DANGANYIKAN

1 Like

Ina maana wakenya wote na kusoma kwenyu na kuelewa lugha ya malkia, kweli viongozi wenu wamepima cons za hiyo agreement wakaona ni sawa kutia sahihi? Kweli Kenya ni nchi ya kitu kidogo. Hiyo delegation itaishia kufanya utalii jiji la arusha, wajiandae kwa disappointment.

They are not going there to ‘plead’, they want to talk some sense to the ’ mad king’

2 Likes

Well put.
cc @Mtanzania Magufuli

niaje spax?

Hili east Africa ni letu. Pole pole tuu twaja !! Mkaza mkaza

C.c @spear @123tokambio

Among the six EAC members, only Kenya — grouped as a developing state — is a non LDC member. Official data produced by trade ministry indicates preferential trade with EU has fuelled a booming business that supports over 200 firms in Kenya with Sh224 billion (€2bn) worth of investments.

Huu wivu ya kutaka ndugu yako Mkenya abaki maskini kama wewe mtanzania ndio ambayo hatuwezi kubaliana nao. Kama hamuwezi kupambana kiuchumi na mibabe wa ulaya muondokee mechi. Kwa miaka kumi munakazia maendeleo kwenye EA, ilhali hatuoni chochote cha maana mnacholeta kwenye meza. Sasa Uganda na Rwanda wako kwenye mikakati, Rais Kinywaji apunguze kijicho…

1 Like

Babuon ameomba kiti mukakataaaa,sasa mapdloks anarudisha mkono:confused::confused:

Wivu na tamaa itawaua kaka

Ikiwa muungano wa jumuiya ya afrika mashariki washakubaliana, nyie nchi moja Ni kina nani kukataa? Mnayo shida ya kutofanya hesabu muhimu. Ndiposa nchi kubwa lakini maendeleo tasa…

Ki uchumi , Tanzania ni nambari mbili Africa Mashariki na kati. Uchumi ya Tanzania ni kubwa kuliko Uchumi ya Rwanda, Uganda na Burundi zikiunganishwa pamoja .
Kwa hivyo - mwenye nguvu mpishe.

Ah! Ndio maana hamtaki kuwaona ndugu zetu Rwanda, Burundi Na Uganda wakiendelea…la haula! Mwenye nguvu kageuka bwana ‘kubwa’…

1 Like

Facts and statistics. Where are they?

Namba moja ni nani ??

[SIZE=5]The Gross Domestic Product (GDP) in Rwanda was worth 8.10 billion US dollars in 2015.

[SIZE=5]The Gross Domestic Product (GDP) in Burundi was worth 3.09 billion US dollars in 2015

[SIZE=5]The Gross Domestic Product (GDP) in Uganda was worth 26.37 billion US dollars in 2015

[SIZE=5]The Gross Domestic Product (GDP) in Tanzania was worth 44.90 billion US dollars in 2015.[/SIZE]
[/SIZE]
[/SIZE]

[SIZE=5][SIZE=5]The Gross Domestic Product (GDP) in Kenya was worth 63.40 billion US dollars in 2015.[/SIZE][/SIZE]
[SIZE=5]

[/SIZE]
[/SIZE]
[SIZE=5] http://www.tradingeconomics.com [/SIZE]