Dere wa trailer

Looking for a competent driver, esp mwenye anatoka sides za moyale see if we can do biz… Nani anajua mtu?

Hmmmmm

Mse wa moyale ni scrotum chieth

Ungependa lift?

Yes boss… unafika ivo lini?

Tafuta @Meria Mata akupe connections to a good driver

sigwes peana mtoto ya wenyewe iende huko ichinjwe na alshaitan chieth.
juzi they killed two truckers, moja wa construction kambuni na huyo mwingine isuzu ya miraa, a hero as kwa hio rd block yao alipita na wawili

Oh my God!