mtazamaji ongea usikike.
Battle of the ipii
Kuna ka video kaingine you tube wanaonyesha hii micharazo na aftermath,kuna boy alikula nyahunda ya ballz na alikua analia ka mtoi. Makunguru zao pia zinapigana,lashes za mattercore na matee tee hazijuani
leta link tucheke zaidi
This should be made an olimpics sport. It would bring glory and fame since we would be the best at it.
:D:D:D
Weka link kwanza ya makinguru