deni

pewa link na ice cube vile nyangau tulivunja miguu juu ya kunibeba ujinga :mad::mad: jamaa alinicon nikienda kwa office yake anaitaa watchman anitoe nje:(
boy tukapatana wakiwa na lanye club, nilimfuata na crew na chuma na kichwa na miguu alikula vizuri beating ilikuwa less than 5 mintz

2 Likes

What the cops are going to do is to make you sign an agreement to pay in installments. Usipeane hongo.

its not that nilimkopa, I had a deal and the guy contributed to it but haikuenda poa. I also lost. Am willing to pay but in instalments of which yeye hataki

Karau wakikuita enda like a Boss. Usiruke kubali nauseme ni vile huna chapaa yote lakini ukotayari kulipa instalments. Hiyo story itaishia hapo.

That is a civil case.
But ukivunjwo miguu itageuka kuwa criminal case.avoid dealing with the latter.lipa

Tembea pawn shop

Lipa deni jamaa udikufe mapema

Usiruke deni… Mwanaume nikuDeal na vitu head on.
Enda kwa karao with a sober deal… Yenye hata we we ukipewa utatosheka… Halafu hustle juu chini ulipane before things go skrrr!!

System ni ile ile!!!:D:D:D:D

1 Like

Huyo beshte yako ni ng’ombe. He should appreciate uko willing kulipa hata kama ana haki ya hizo pesa.

Kama hauna, hauna. Lakini tia bidii umlipe na ukate ubeshte na yeye. Not unless wewe hukopa kila mara na unasumbua kulipa.

Take a loan to pay a loan

Sio wewe pekee yako uko na deni pia Mimi nalipia deni ya SGR na sisi nilikopa…Fuck hard tumbilee