Democracy ni wewe

Governors wa izi counties tushawajua. Boardrooms and bedrooms, sio ballot box.

Mombasa
Kisumu.
Nairobi.
Machakos.

Wakenya waache siasa, washughlike na zile vitu zitawasaidia kupambana na hali ngumu ya maisha na uchumi.

Tru dat broda

under Uhuru democracy has become a foreign banana