Demio

Demio kuskia kujikuna

Hehehe. Kaliingiaje hapo?

Probably alikuwa kwa simu akajisahau

Usually happens to new drivers mwenye hajui barabara na by the time amake decision kwenye anaenda anaangalia sidemirrors ama anapigiwa honi anashtuka anajipata katikati na alikua mbio anaskia kagari kako airborne