Dem anameza MADIABA kumeza.

Kuna kitu ilinishangaza sana jana kwa job. We have this new chick ameanza kazi juzi,she is hot as fuck…She looks a recent graduate but amebeba and is endowed generously enough to make resident fisis at the workplace fall over themselves tring to woo her. She works at a different department but often I can bump into her during the lunch hr break
Now yesterday she happened to go for lunch at the office’s dining area n by then i was still there pia nikidishi.She ordered for food kama kawa but then akaitisha pia soda ya krest 500ml,(madiaba). Tukaanza small talk kiasi till she finished her food.What followed next ilinishangaza sana.The chick downed the krest in a glass in two gulps ni kama anachapa flash!!btw si madem wengi hukunywa krest n pia soda huwa ngumu hata kwangu kuichapa flash hivo hadi nikashanga huyu dem anatoka wapi!! She is beautiful btw ningekuwa na picha ningetuma but sasa vle nlikuwa nmepiga hesabu za sijui kumpeleka dinner blah blah naona huyu hakuna ni waste pesa konyagi na chaser ya krest inaweza. Ama huyu dem alikuwa tu na kiu and am the one overthinking?

4 Likes

You can not be Daudi mwenyewe. The Real David never overthought. He even caused death to get them slices.
You get what am saying…

23 Likes

Dont shit where you eat.

9 Likes

rule no. 3 of the village it says thou shall not bring hekaya without effidens.

8 Likes

unashangaa soda… ile siku atameza chupa ya beer na sip mbili ndio utatoka mbio vizuri.

16 Likes

its not rule no. 3, ITS THE CARDINAL RULE

4 Likes

kwani pia kumeza soda kubwa inatoa watu kwa short list?

21 Likes

Hio ni dalili ya mtu wa chang’aa

12 Likes

Rules were made to be broken

1 Like

Unafikiria hiyo udongo amejaza Kwa madiaba anatoaga wapi? Wacha mrembo ateremshe krest

Hehe utajichenga Mblo.

I told this to another young man here, don’t get laid with a woman you work with. Any mature man will tell you this for free

6 Likes

:smiley:

1 Like

shoot first and ask questions later

:smiley: :smiley: :smiley: atamualika out maulevi dame ameze tei bila kutingika jamaa itabidi akunje mkia arudi kwake.

4 Likes

When used to such drink inakua normal ku do that especially kama unataka kuondokea someone naggin’ hehehehe angekuwa anataka kustay angesip tht thing mos mos… Hint

5 Likes

Hekaya hekaya again hekaya priis

Hehehe umesema madiaba nostalgia ikanichapa vile 90s nilikuwa naangusha mkate full na coke kubwa .

But hio ngamia iko poa bado ni mshamba iinvite mahali uweke mix ya konyagi na Kenya cane kwa chupa ya Jameson 1 litre na uweke colouring na ununue nyama kilo mbili na ukuwe na pesa ya uber by saa tano usiku utakuwa unatomba kitu kwa nyumba mpaka chee na kesho yake akupikie lunj na sapa

4 Likes

si ati shida ni soda…ni vle ameimeza design ya wale walevi wa mjengo vle hukunywa zile cheap liqour za 100/= in one go in a local.

Ile siku utampea mboro anyonye ndio utajiju! ataingoa na makende yote.

1 Like