Deleted thread

I had opened a post that I was reading reading saa hii. And it looks to be deleted. There was a picture of a lady in a shirt and I think @Carbon had posted it. I think I know that lady. Only that I didn’t see it well.

Sasa tukupigie makofi ama what exactly is your point here?

2 Likes

some things baffle

i didnt

@Mundu Mulosi NA @Electronics4u WACHENI UDICTATOR MUMENGOA POSTS ZA JIRANI NA HATA HAZIKUA NA UBAYA, I THOUGHT NI MANKI HUWA HIVO KUMBE INAKUWANGA NYINYI PIA , HIVI NDIO KLIST ILIKUFA

2 Likes

Ango @uwesmake achaga za ovyo na hizi ma CAPS LOCK mpaka una-confuse comp yangu inaniambia kwa alerts at ume-attach a file…

5 Likes

hebu kwanza karibisha @Mboco anakutafuta, halafu hii maneno tutakwambia laterz mtu nguyaz.

1 Like

:D:D:D

Point ni, I wanted to see / confirm about the lady @Carbon posted.

1 Like

She might be my cuzo:eek:

Boss, this is the internet, ata ukiona picha ya bibi yako hapa wewe mezea kesi ni kwako nyumbani.

3 Likes

HAHAHAHAHA, CAPS ni kubwa sana comp inaona kama image

1 Like

:D:D

Idiots galore

Hii caps lock hunimalizia bundles sana :mad:

2 Likes

DEATHED! :D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

@Giilbeys = UWESMAKE

1 Like

wachaneni na ankle hiyo ndio signature yake

1 Like