Moi, Karume, Muguku, Michuki, Joram Tuskys, Akamba Bus, The list is too long, hata kwenu ocha hakukosi Millionare family moja ama mbili iliyo sambaratika baada ya Head Honcho kuuma pamba
Can you provide the article here
Login kwa Nation Media and read the article. It is behind a Pay Wall
Inheritance wrangles can be avoided but its extremely hard to do so especially beneficiaries wakiwa wengi na not in very good terms. Most of the time unapatanga one of the beneficiaries anataka kuosha hawa wengine and that kicks off court cases and wrangles. Some beneficiaries feel more entitled than others. Ni kitu ngumu sana kuavoid. Even Indians have inheritance wrangles ni vile tuu sio wengi and their cases don’t reach the news. Hizo ni part and parcel of human nature na haitambui race. Inheritance wrangles are unavoidable.
Ukipewa inheritance yako just sell and move to a separate location. You will avoid a lot of problems in future. I have seen situations where children inherit land, some sell and waste their money halafu wanarudi kusumbua wenye hawakuuza mashamba zao. Ukipewa shamba uza hiyo shamba and immediately replace it with another shamba away from your original one. That way you will avoid any future claims on your land from cunning siblings or their children.
After my mzee kujipa shughuli, nilijitoa kwa hesabu za Mali yake..niliamua kusaka zangu. Niliona italeta shida na my step family… My big bro ndio hujihusisha, Mimi nilikataa hata kujua Mali ya mzee mahali iko. Aliwahi nishow tuende nkadinda…akaboeka…but niliskia fiti.
How do you bypass the nation paywall? I’ve tried everything and it never works
Family ya failures io. Generations wanategemea ile land ancestors wao waliiba, hawange expand na ku diversify kwa biashara zengine.
Generations wamelishwa na shamba enye si wao walinunua, izo miaka zote zimekunywa maji.
Just create a dummy gmail account and register with it.
Hawalipishi?
You do know that claiming your inheritance is not a crime right?? Neither does it stop you from accumulating your own wealth.
Hakuna trophy ya kuondokea mali umepewa na babako. In fact, its stupid kukataa property umepewa. Na kuchukua haimaanishi usijitafutie zako. Hii dunia you should take advantage of every opportunity that other people don’t have.
Najua unajiona otero sana kukataa mali. But it is a dumb decision. Unaweza jipata unahitaji hiyo mali in future. Hii maisha ni ups and downs gathee. You might regret that decision later.
Heri uchukue hiyo inheritance na usiwahi ihitaji, kuliko kukosa kuichukua halafu uihitaji baadaye e.g a medical bill in your household. Halafu hata usipoitumia vipii zako zitaitumia in future.
…niliona hakuna haja.
Mali haishibiki gathee. Wewe usipoihitaji vipii zako zitaihitaji ukidedi. Tena ni mali legitimate hujaumiza mtu na hujaiba.
I saw a woman suffer and die from cancer bado wakivutiana shamba na her siblings. If she got her share in time worth millions angeafford treatment in time and maybe survived.
Unakataa inheritance babayoo? Maajabu haya.
Huyo ni gen z hajamea akili.
Kama kuna kitu siezi kataa ni inheritance.
Hiyo article kwa gazeti hakuna mahali imesema kuna inheritance wrangles.
His grand kids will take over.
Nilikataanga, alidai anisho plots zake (hakuwa amejenga ziko side ya Mowlem ukishavuka reli, dandora, na kayole side za junction) mzae alituachia four four storey houses in huruma, mathare north na dandora. Huwa sina kazi ya mali yake na si kwa ubaya…though nikiwa nahitaji help nitapata bila stress but I prefer kujipigania, it feels better and so far siwezi complain.
Delamare family are failures? Who is your father in the grand scheme of things? Unakuanga na kiherehere na ujuaji mingi sana na wewe ni mpumbavu.
Unaita colonialists walibaki kwa wenyewe and have managed to eke out billionaire lifestyle all these years failure? Unajua wako na airstrips ngapi pale Soysambu? Fyata hio bakuli yako kubwa inanuka. Zoea kubrush
Inheritance actually si mbaya. Ni kama kusema babako akutafutie kazi na wewe ukatae ukidai utajipigania ujitafutie wewe mwenyewe which aint a bad thing lakini you shouldnt say no to such an opportunity. Mzae ameku entrust na mali yake na wewe unasema no. Hujamuitisha amekupea willingly.
Bado ziko tu, my big bro ako in charge.
